Matokeo ya bahatinasibu kwa michezo ya bahatinasibu yote ulimwenguni

Katika ukurasa huu, tutakuonyesha namba za ushindi za michezo ya bahatinasibu kubwa duniani, inayohusisha Powerball, Megamillions, Euromillions na Eurojackpot. Tazama matokeo yote ya droo hapa – taarifa za kudumu za hivi karibuni ziwekwa hapa punde tu baada ya namba za droo kupatikana.

Unaweza kuwa umejiuliza kama inawezekana kupata tiketi kwa moja ya bahatinasibu zenye vitita vya pesa ambazo umekuwa ukizisikia au kuzisoma. Watu wengi huwa wanawaza “Bahati mbaya siwezi kupata tiketi za Powerball – watu wanaoishi Marekani pekee ndio wanaweza kuzipata hizo.” Wamekosea sana.

Katika nyakati hizi za intaneti, kununua tiketi za michezo ya bahatinasibu iliyo nje ya nchi yako ni jambo rahisi sana. Kuna huduma kwa ajili ya kununua tiketi za bahatinasibu duniani kote inaitwa RedFoxLotto. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza tu kwenye moja ya kiboksi kinachosema “Play” chini na utapelekwa kwenye ukurasa ambao utachagua namba zako, kisha kuamua kama unataka kushiriki katika droo moja au zaidi na pia idadi ya tiketi unazohitaji. Baada ya hapo unafanya malipo ya tiketi yako mtandaoni, na punde utapokea kivuli cha tiketi yako ikiwa imeskaniwa katika barua pepe yako.

Siri nyuma ya huduma hii kupatikana duniani kote ni mtandao wa mawakala walioajiliwa na RedFoxLotto. Wananunua tiketi uliyoagiza mtandaoni, na kisha wanaskani na kukutumia wewe. RedFoxLotto wanashughulikia pia ulichoshinda kama ukishinda, bila kukata makato yoyote ya ushundi wako.